Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,793
- 8,734
nijua watu walipiga 1.7 EGM shule yetu nashangaa wale majamaa walienda ualimu asee sijui walikua wanawaza nini kichwani. hao ndio die hard fan wa ualimu
Sasa hata baada ya kuandika hayo lengo kuu ni lipi?
1.chuki kwa walimu
2.hasira za kukosa ajira
3.wivu kwa kuwa walimu wanapata ajira moja kwa moja na wewe upo mtaani huna kazi?
4.kuuambia umma kwamba walimu ni ma failures na wajinga kitaaluma?
5.dharau kwa kada zingine kwa vile wewe upo kada yenye heshima na mshahara mzuri zaid kuliko ualimu? Nk
Lakini haohao wenye marks hizo hizo na failure zao ndio walio kupa kiburi cha wewe ku type hapa na kuwadharau, hakuna msomi yeyote asiye pitia mikononi kwa mwalimu hivyo unacho kifanya wewe nikutukana wazazi wako baada ya kukuzaa na kukukuza, ni sawa na kukata daraja baada ya kuvuka mto ukidhan unaukomoa mto wakati wa kurudi uta hitaji daraja tena,, nadhan hata watoto wako hawata muhitaji mwalimu utawafundisha wewe na ukisha kuwa mfundishaji na wewe pia utakuwa umesha imgia kwenye kundi la walimu hasa tukitafsiri sahihi maana ya neno "MWALIMU"
Naweza sema mimi ni mwalimu na ni failure kama ulivyo sema lakini wanafunzi walio pita mikononi mwangu wengine ni engineer wengine ma Dr. Wengine walimu kama mimi na wengine wako kwenye fani zingine mbalimbali ,na wengine wanadharau kazi hii kama wewe ufanyavyo baada ya kuvuka
lakini wametoka kwenye mikono ya failure mimi kama sema yako.
Lakini pia unatakiwa kujua kuwa ualimu ni kazi inayo hitaji watendaji , na wala sio kazi ya class fulani, niseme ufinyu wako wa mawazo ndio ulio pelekea kufikiri hivyo na kuandika ulicho andika kwa vile ulitumia upande mmoja tu katika hoja yako hiyo.
Lakini hongera pia kwa utafiti wako wa kihisia kuli uhalisia.
Sio kweli naongea jambo kwa fact udsm education watu wenye three wapo wengi sana na rafiki zangu waliofeli kipindi hicho walisoma pale...ili uweze kuingia DUCE au chuo chochote ualimu kwa vyuo vikubwa kama UDSM, DUCE, MUCE n.k unatakiwa uwe na point kuanzia 5 sasa point tano ni divion ngapi??? Kama S=0.5, E=1, D=2, C=3, B=4, A=5 hivyo point tano maana yake ni D D E ambazo ni point 5 ila ni divion Three point 13...mpaka hapo kuna swali ndugu?!
Nimeweka hapo awali ukifundishwa kupika haimainishi aliyekufundisha ataendelea kuwa zaidi yako, juhudi zako ndizo humfanya mtu ampite...mwalimu aliyenifundisha uwezo wake ndio uliishia pale ila kwa juhudi zangu nikampita...kwahiyo kama alimaliza form four akapiga four akapelekwa ualimu kisha akaja kufundisha shule ya msingi, mie mwanafunzi wake nikasonga mpaka chuo kikuu bado utasema mwalimu ni bright?! Asilimia kubwa ya waalimu uwezo upstairs ni mdogo
Na kingine mie sikusoma ualimu Bali nilisoma PSPA (Political Science and Public Administration)
hivi walimu wamewakosea nini juzi kulikuwa na uzi unasema walimu hawapati wanawake wazuri, watu wengine vituko sana. Hujui walimu wenye phd wewe nao uwezo wao ni mdogo? Raisi wako uwezo wake ni mdogo, waziri mkuu wako uwezo wake ni mdogo, waziri wa elimu hujui kwamba ni mwalimu uwezo wake ni mdogo? Na swala la mwalimu wa cheti kada yoyote inacheti ambacho wanaenda kusoma waliomaliza kidato cha nne. Wewe madudu kweli.Nimeweka hapo awali ukifundishwa kupika haimainishi aliyekufundisha ataendelea kuwa zaidi yako, juhudi zako ndizo humfanya mtu ampite...mwalimu aliyenifundisha uwezo wake ndio uliishia pale ila kwa juhudi zangu nikampita...kwahiyo kama alimaliza form four akapiga four akapelekwa ualimu kisha akaja kufundisha shule ya msingi, mie mwanafunzi wake nikasonga mpaka chuo kikuu bado utasema mwalimu ni bright?! Asilimia kubwa ya waalimu uwezo upstairs ni mdogo
Na kingine mie sikusoma ualimu Bali nilisoma PSPA (Political Science and Public Administration)
TEACOLTD Kwanza hongera kwa kuwa na ujasiri wa kuleta uzi huu maana sio viongozi wanaoongoza/simamia sekta ya elimu wala serikali kuu ilishawahi kukiri kuwa tuna tatizo la walimu wenye uweledi na kuwa na mkakati makhsusi wa kulitatua tatizo hilo.Habari wanajamvi?
Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.
- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.
-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.
-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.
Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.
Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.
Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
Kuna kitu pia mtoa mada bado kina nitatanisha kuhusu ufahamu na upana wa mawazo yako umesema mwalimu wako alikufundisha na uwezo wake ukaishia pale zaid ni jitihada binafsi, sawa sasa umesema una dgr of pspa sasa hiyo dgr ulijitunuku mwenyewe au bado ulihitaji msaada wa mwalimu ? Au dhana ya ,mwalimu kwako inaishia wapi? Maana mwalimu huanzia nyumbani ambaye ni mzazi then chekechea ,primary, sekondari, chuo na kuendelea ,hao wote ni walimu kwa ngazi zao na level zao za kufundisha maana kila mwalimu anamipaka yake kwa wale anao wafundisha nadhani umetumia hisia zako zaidi kuliko uhalisiaHahahahaaa unajipooza bure Ndugu...sijaanza Leo, nimemaliza 2013 na ninachokiongea nina ushahidi nacho asilimia kubwa ya waalimu wanaangukia vipengele vitatu ila kikubwa ikiwa ni matokeo mabovu
We jamaa Muongo na unaongea kwa uhakika hadi shetani kama yupo atakuwa anakushangaa!!
Huu utafiti nimeukubali,ni kweli kabisa asilimia tisini kama sio wote walimu walikuwa vilaza darasani au walikosa sifa za kusoma vitu vingneHabari wanajamvi?
Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.
- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.
-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.
-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.
Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.
Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.
Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
Naona dawa inafanya kaziAcha ufala we mi kuanzia form 4 six na chuo kikuu ufaulu Wangu in daraja la kwanza na ni high score. Fala wewe
Sio kweli naongea jambo kwa fact udsm education watu wenye three wapo wengi sana na rafiki zangu waliofeli kipindi hicho walisoma pale...ili uweze kuingia DUCE au chuo chochote ualimu kwa vyuo vikubwa kama UDSM, DUCE, MUCE n.k unatakiwa uwe na point kuanzia 5 sasa point tano ni divion ngapi??? Kama S=0.5, E=1, D=2, C=3, B=4, A=5 hivyo point tano maana yake ni D D E ambazo ni point 5 ila ni divion Three point 13...mpaka hapo kuna swali ndugu?!
Anakuwa kilaza kuliko mwenye division oneKwani mtu akipata division three kafeli?
Unajua kigezo cha ufaulu gani Kinahitajika kwa mtu kusomea degree ya ualimu chuo kikuu kama udsm ?? Ngoja nikusaidie usipende kukalili maisha hiyo fact yak ya kwanza haiko sawa mfano mzuri kwa udsm ili usomee ualim lazima uwe na division 1 ya point yoyote ile ,,, sasa unapokalili na kusema kusomea ualimu ni kwa waliofeli tengua kauli mkuu think critically
Nina two ya PCM tena ya 2007, na sasa ni mwalimu wa mathematics. Kama unabisha sema tuweke dau.
pale UDSM kama unataka kusomea ualim lazma uwe na point 5 na kuendelea sasa hzo point n lazma mtu uwe umefaulu vzur