Walichofanya CCM siyo immoral, ni amoral

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,799
4,005
Kwa hiyo sasa CCM imeshinda. Kwa hiyo Wapinzani lazima waridhike na walichopata.
It is very unlikely kwamba Uchaguzi unaweza kurudiwa.
Naona manabii wengi wanasema Bwana kawaambia CCM itaadhibiwa.
Well,we certainly hope so,kwamba CCM itaadhibiwa, lakini sasa CCM ndio imeshika madaraka.
Kila kitu kilipangwa na kilienda kama kilivyopangwa.
Lakini Wapinzani bado hawajaon gea.
Tuwasikilize kwanza kabla ya kufanya uamuzi.
Hii ni Serikali mpya actually imeanza.
Nchi sasa Iko shwari kwa sababu imepata viongozi.
Hawa watu ndio Serikali.
They far outnumber wale viongozi wachache watakaochaguliwa mwaka kesho,2025.
Mimi mawazo yangu ni kwamba God is in His Heaven
And everything is right with the world.
Viongozi wa Serikali za Mitaa wamechaguliwa.
Kazi iendelee.
 
Ni ngumu kuamini, ila hakika CCM itajutia ushenzi ilioufanya. Uovu wa CCM kwenye uchaguzi huu umewaunganisha wananchi dhidi ya CCM.

Jipeni muda, mtashuhudia.
 
Ni ngumu kuamini, ila hakika CCM itajutia ushenzi ilioufanya. Uovu wa CCM kwenye uchaguzi huu umewaunganisha wananchi dhidi ya CCM.

Jipeni muda, mtashuhudia.
Katika uchaguzi kuna washiriki wafuatao;
1. Vyama vya siasa na wagombea wao
2. Watumishi wa Uma na vyombo vya dola ambao ni wasimamizi.

Huu ni kama mchezo wenye timu za wachezaji (wagombea na vyama vyao) na referees (watumishi wa Uma).
Sasa kama vyama vinataka haki, njia ya ufanisi ni kupambana na referees wanaopindisha haki zaidi kuliko aliyepewa.
 
Km mwisho kuna kufufuliwa mwendazake mwisho wa dunia abaki uko uko mbegu aliyoacha amepanda kwny kuua upinzani imetoa mbelewele saiz i hate that man badly
 
Back
Top Bottom