Wale tuliosoma Usagara sec-Tanga

kokaumba

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
398
177
Jamani tujikumbushe matukio ya kufurahisha, kuudhi na kukera uliyokumbana nayo ukiwa USAGARA SEC. Utaje na mwaka.
*********

School song:
USAGARA nakupenda wala sitokusahau. .......
 
jamani tujikumbushe matukio ya kufurahisha,kuudhi na kukera uliyokumbana nayo ukiwa USAGARA SEC.utaje na mwaka
*********
school song:
USAGARA nakupenda wala sitokusahau. .......
Mwaka 2009 ; form six USA sec .nakumbuka sanaa uck tunaenda kwenye baikoko .kula maharage yenye top layer n.k pia majina ya hostel kama annex .thinker California uwanja kama old Trafford na venue yakusomea mzimuni unasoma huku unapiga chabo watoto kutoka mkwakwan old tanga coastal wanasubr daladala pale nje na ukichoka basii unachil Uhuru park Na unazungukia mitaa ya library bila kusahau jmos kwenda kusomea novert na week end nyingine kujitusha disco rakasachikaa.all in all usagara imenitoa na ndo inanipa jeur kwa mtaa na mm ni mtu kat ya watu
 
Ha ha ha, nakumbuka siku moja, pale four ways panapigwa baikoko, alaf uwanja wa mkwakwani ni miss tanga.

Daaadeki, mwalimu Kisinza kupitisha roll call kwa wale wa hostel ya town, ilikua msiba aisee
 
Mrema, Byabato, Mohamed R.I.P, Keto R.I.P, Mgavawo, Magunda, Mshana, Mwanahamisi..the names that carry meaningful events...like this thread...
 
MR KAANA.
NI NOMA .
ANAKWAMBIA"VIJANA NINA MECHANISM NYINGI ZA KUWAKAMATA" N.A. SAUTI YAKE YA UPOLE
 
Mrema, Byabato, Mohamed R.I.P, Keto R.I.P, Mgavawo, Magunda, Mshana, Mwanahamisi..the names that carry meaningful events...like this thread...
Umemsahau Rwechungura (kwa fimbo alikuwa hajambo), Dyamkwamba, Muya, Mussa (Huyu alihamia Popatlal), Mama Tuni,.... namkumbuka sana Copper Sulphate R.I.P., alichezea timu ya Mkoa wa Tanga wakati shule haina taarifa. Siku moja uongozi wa Chama cha Mpira wakaja kutoa shukrani zao.
 
Uuuwi, look to this day,

Kama unamkumbuka mwalimu mkuu Babu Dictator a.k.a Mkwizu

Nakumbuka Bito Cup,
advance tulikua tunaligi ya kugombea mikate na soda

Nimetoka pale 2010 form six PCB 2
Mm niliziacha zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…