ivi bado zinapatikana mkuuTafuta Ngao ile tulikua tunaweka kwenye chandarua
Mchwa wanafyeka mahindi shambani,wanachagua makubwa makubwa tu
Ulishaipata?
DeltamethrinMsaada kwenye tuta.
Wakuu ni dawa gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuua wadudu wakiwemo mchwa, mende, kunguni na wote wanaotambaa na kuruka.
Chlorpyrifos.......kanunue Rocket trade name