Wakuu, naombeni taarifa hizi muhimu kuhusu route ya Masasi kwenda Sumbawanga

Wakujibwea45

Member
Oct 8, 2021
34
12
Habari zenu humu ndani

Ningependa kujua kama pale stendi ya Masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga

Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
 
Google tu mkuu utapata kila kitu unachohitaji.

Just Google route (basi) kutoka Masasi hadi Sumbawanga.
 
Habari zenu humu ndani

Ningependa kujua kama pale stendi ya masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga

Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
Hakuna la Sumbawanga moja kwa moja ila kuana Sajda ya Masasi-Mbeya nadhani ndio njia nyepesi.
Gharama sijui gharama yao ikoje.
 
Habari zenu humu ndani

Ningependa kujua kama pale stendi ya masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga

Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
Hakuna route ya bus
Ila route ni kama hii masasi--tunduru--songea---njombe----makambako----mbeya/tunduma----sumbawanga

Ova
 
Habari zenu humu ndani

Ningependa kujua kama pale stendi ya Masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga

Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
Unaenda kufanya nn sumbawanga?
 
Sumbawanga wenye .....uhitaji mashamba kulima mahindi na soya.....acre 100 pkus deal ndio hilo pia sukuma wamejaa huko na ngombe wengi sanaaaw
 
Back
Top Bottom