Wakurugenzi na maafisa utumishi chanzo cha mikopo kausha damu kwa watumishi, hasa walimu na manesi

Niwaheri

JF-Expert Member
May 2, 2020
2,742
4,416
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtumishi wa umma anaenda kukopa taasisi zenye riba kubwa na matapeli wakati anauwezo wa kukopa benk kama NMB na CRDB ambapo ni salama kwake. Kumbe chanzo ni nyie nyie serikali kupitia wakurugenzi na HRO, alafu kucha kutwa mnasimama majukwaani watumishi msikope mikopo ya kausha damu je mnajuiuliza chanzo ni nini au mnaongea tu?

Iko hivi mtu anaenda kuchukua form benk anaanza kupitisha kwa Mkurugenzi isainiwe kama mjuavyo hawa miungu watu maombi yanachukua mpaka wiki hadi wiki mbili kusainiwa hivi imagine huyu mtu anadharura atafanyaje zaidi ya kukopa bayport na kwingineko?

Ok utumishi mmekuja na njia rahisi ambapo mtu anaomba online, lakini bado tatizo hamjalitatua kwa sababu anarudi kulekule utumishi akaanze kuzungushwa na HRO(hapa mmetengeneza rushwa ingine)ambapo kama ana dharura atarudi kukopa bayport.

Bado sijaona mantiki ya kumrudisha mtu kwa HRO ikiwa taarifa za mshahara mnazo na mikopo aliyonayo. Mmefanya calculations ya kila kitu sasa mnamrudisha kule ili iweje? Kiufupi ESS bado haijasolve tatizo zaidi ya kuliongeza.

Hivi nyie hamlioni hili tatizo au kwa kuwa nyie haliwahusu? Tafadhali Utumishi emu think beyond kuliko hizi drama mnazofanya.
 
sina ujuzi sana katika mfumo wa ess lakini jambo lako watalichukulia kama changamoto
 
ess inamaliza kila kitu hakuna kwenda kwa afisa utumishi
 
Back
Top Bottom