Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 311
- 383
Sherehe za krismasi na mwaka mpya ni ibada maalumu Kwa wakristo. Ibada itakuwa ya maana iwapo mtakula Vyakula vilivyoandaliwa Kwa maombi yenu bila kuchanganya maombi ya miungu wengine. Lakini Kwa upendo mkubwa Msisahau kununua nyama za mabuchani Kwa ajili ya wageni wasio wa Imani yenu. Msiwalishe nyama mliyoandaa Kwa Dua zenu.
Nawatakia heri ya krismasi na mwaka mpya.
Nawatakia heri ya krismasi na mwaka mpya.