Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,257
- 13,188
Mkuu wa Mkoa wa Njombe ndugu Anthony Mtaka anafaa kuwa mfano wa viongozi wenye kujenga jamii bora kupitia hotuba zake.
Tanzania ya sasa sio CCM wala vyama mbadala wenye hulka ya kutoa hotuba zenye kujenga jamii katika misingi ya kufikiria yaliyo mema na kutunza mila desturi na tabia njema na bidii ya kazi katika kujenga uchumi na jamii imara.
Natoa pongezi kwa Anthony Mtaka na ikawe chachu hata kwa viongozi wengine wote.
Naomba kuwasilisha
Chief Wadiz