mpondamali
JF-Expert Member
- Sep 5, 2011
- 500
- 174
Tukiweza kufanya milima Kilimanjaro kuwa kama icon ya taifa basi hapo tuweza kuwazidi hawa Jamaa zetu wajirani kwa mfano tuweza kuuweka mlima KLM ktk national seal ,pia kutangaza faru,SIMBA,kiboko,mamba,tembo ni alama za kuonesha taifa lenye usalama na mamlaka kama hao wa nyama c kama NYUMBU NA SWALA .....ni mawazo yangu tuuu....