Wakenya wametuamsha usingizini, salam za heri ya mwaka mpya toka kwa Rais Magufuli

Nilisha waambia na ninarudia kusema, wakenya ni wabunifu na wanathubutu kutokana na mfumo wa elimu walionao, unawafanya graduates wawe wabunifu. Tofauti ni elimu yetu hapa ni ya kukariri ona sasa tume copy walivyo fanya wakenya.
My advice:
Tuache siasa kwenye elimu tutashindwa kujikomboa. wakenya wakija Tanzania wanatamani wabaki huku kutokana na fursa wanazoziaona hapa Tz. Ilihali wenyewe tuna macho lakini hatuoni.
Kalaga baho! Tumekalia kupambana na wapinzani
 
Huo mlima si wakenya wanautaka? Naona ile thread yangu imewaamsha wakaamua kuweka kabendera kwa juu ya mlima ili kuonyesha msisitizo!! JF inamuokoa Magufuli na mambo mengi!
Huyo muokolewa sasa alivyo na kibri.
 
054553e8cc86dc6bdaf5757f1fdd8759.jpg
 
[QUOTEmeupupuwapwani, post: 19103026, member: 59150"]Hiyo ndege inatafuta nini hapo![/QUOTE]
Jamaa ndio lile dege kubwa tuliloagiza sijui wanaliita dreamliner.
 
ile picha ya juu kushoto wangeiondoa waweke nyingine. bora wangeweka hata ya nyerere tu. inatutonesha vidonda kwasababu kile watu tulichotarajia imekuja in the contrary kabisa. watu tukiona iyo picha huwa tunabadilisha channel fasta.
wewe na fisadi lowasa kamwe hamtogusa ikulu na msahau na huyo utaendelea kumuona hadi mwaka 2025
 
ile picha ya juu kushoto wangeiondoa waweke nyingine. bora wangeweka hata ya nyerere tu. inatutonesha vidonda kwasababu kile watu tulichotarajia imekuja in the contrary kabisa. watu tukiona iyo picha huwa tunabadilisha channel fasta.
Mie nikiona nafarijika kweli kweli
 
Back
Top Bottom