Angalia hiyo comment inayoanza na honestly... Afu changiaWatanzania Tunamatatizo yaKutafsiri Lugha Ya Kingereza.
Ukiangalia kwa Makini si Kwamba Wamesema Ametoka Kenya.. ila Hao Fans Wanajitambulisha Kama fans kutoka kenya...
Ndo Maana Wamemalizia Kwa Kusema BigUp from Kenya(254)...
Angalia hiyo comment inayoanza na honestly... Afu changia
Kwa nn afikirie Darassa ni mkenya?.... Na kwa nn audhikeAmeandika I thought the guy is Kenyan.. kwa Tafsiri ya Kiswahili Amemaanisha "ALIFIKIRIA KWAMBA JAMAA NI MKENYA" kumbe ni MTz so Hakupenda Jamaa kuwa Mtz....
Tufanye mpango tuwauzie.Kama kawaida ya wakenya, kila kitu kizuri cha Tz mnaamini kilifaa kiwe Kenya.. Na Darassa nae mnatakanawe wenu!
Da! Nashindwa ku-upload screenshot
Wana Inferiorty Complex achana NaoKwa nn afikirie Darassa ni mkenya?.... Na kwa nn audhike
Na Hugo wa juu take anakwambia eti... Sounds like Kenyan jams.... really?
Bila shaka na ww ni Mkenya.... Wale wanaoamini kua watz tukisoma kiingereza hatuelewi....kasome english bhana alafu uitafsiri hio picha, huyo hajasema kama darassa ni mkenya, kasema izo flow zake ni kama za watu wao wa kenya. over
Wewe ndo mwenye matatizo na lugha ya English.Nadhani mleta mada na wachangiaji wengi humu mna tatizo na lugha ya english
Aliudhika kusikia ni Tz.kama hakutaka darasa awe mkenya.unafikiri jamaa alitaka darasa awe wa nchi gani?Watanzania Tunamatatizo yaKutafsiri Lugha Ya Kingereza.
Ukiangalia kwa Makini si Kwamba Wamesema Ametoka Kenya.. ila Hao Fans Wanajitambulisha Kama fans kutoka kenya...
Ndo Maana Wamemalizia Kwa Kusema BigUp from Kenya(254)...
Honestly on hearing this jam I thought the guy is Kenyan.niliudhika kusikia ni Tz lol. Sasa wewe unabisha nini?
Aliudhika kusikia ni Tz.kama hakutaka darasa awe mkenya.unafikiri jamaa alitaka darasa awe wa nchi gani?