ndiyo mkuu, katika fani hiyo hakuna anaewafikia.ni mahindi mabichi na maharage?
mbona nimekisoma na nimekielewa rahisi tu kupika si unaunga tu kama maharage au?ndiyo mkuu, katika fani hiyo hakuna anaewafikia.
Bora kidogo kwa waluo ila wakikuyu balaa mwanamke kama mwanaume vile mnasimama nae na humwambii Kitu .wanapigwa sana mpaka wanakimbia nyumbaila wanawake wakenya ni wakatili sana sijui kama kuna mwanaume wa kenya anaenjoy ndoa yake .ni wababe sana hawana adabu .jeuri ,hawana heshima hata tone
Punguza kudharau dada. Njoo tukupikie makukuru na kibulu utasahau njia ulotokea. Ulishwahi kunywa mtori wewe? Unajua asili yake? Alafu nikikupeleka boma kwa kokoo akupe loshoro huku Nyangusii anachoma nyama pembeni ya sariko si utaenda kutuchungia ng'ombe wewe?pande za kaskazini hakuna mapishi kabisa hata wachaga wamejua kupika juzijuzi tu hapa nao ilikuwa majanga
hahahaha,daaah wako busy gymKweli hata ukienda kwa sherehe usishangae kukuta wali mbichii!!!
Ona sasa. Ukiambiwa upike ukaleta ushwahili wako ukiweka nazi kama maharage unaaribu pishi eroombona nimekisoma na nimekielewa rahisi tu kupika si unaunga tu kama maharage au?
Mi nadhani ukweli utabaki kuwa !! Wanaposema mapishi hawamaanishi chakula cha kila siku kwenu! angalau ujue kupiga vyakula ambavyo si vya kikabila , pia creativity kwenye mapishi! vyakula ambavyo huliwa na most people!!!Punguza kudharau dada. Njoo tukupikie makukuru na kibulu utasahau njia ulotokea. Ulishwahi kunywa mtori wewe? Unajua asili yake? Alafu nikikupeleka boma kwa kokoo akupe loshoro huku Nyangusii anachoma nyama pembeni ya sariko si utaenda kutuchungia ng'ombe wewe?
Laiti kama English ingekuwa first language apa Nchini au tu ipewe kipaumbele leo, Tz ingekuwa most visited country E.ANilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri lakini lugha ndiyo inaweka mipaka.
Hapo ni kweli, huwa tunawapa mfano wa Kitanzania, yaani wajeuri sana wanawake wetu, lakini tumewazoea, twajua kudil nao!!ila wanawake wakenya ni wakatili sana sijui kama kuna mwanaume wa kenya anaenjoy ndoa yake .ni wababe sana hawana adabu .jeuri ,hawana heshima hata tone
Sasa hivi kuna matabaka Tanzania, wale waliosoma English medium wanaongea lakini bado 80% ya watoto wa under 16 bado hawajui kabisa English.Laiti kama English ingekuwa first language apa Nchini au tu ipewe kipaumbele leo, Tz ingekuwa most visited country E.A
Wengi shule iko kwa mkichwa sasa wewe standard seven ya mkoloni Upo tu kila kitu unamtegemea Mr hio jeuri unaitolea wapi asee?ila wanawake wakenya ni wakatili sana sijui kama kuna mwanaume wa kenya anaenjoy ndoa yake .ni wababe sana hawana adabu .jeuri ,hawana heshima hata tone
Hilo ni Tatizo ni lazima mitaala ya kutokea Elimu ya chini iwe English mpaka vyuo vikuu ni Ajabu Wabunge au watunga sera za kungangania kiswahili watoto wao wako English medium na Nje huko hata accent zao za Kiswahili ni mbovuSasa hivi kuna matabaka Tanzania, wale waliosoma English medium wanaongea lakini bado 80% ya watoto wa under 16 bado hawajui kabisa English.
Ni kweli nimesoma na wakenya chuo kiukweli kupika kwao ni zero, yaani ni kero in la wanaenjoy sana kula kilichopikwa vizuri na wengineWakenya habari zenu
Hivi majuzi nilikuwa sehemu moja inaitwa bondo kisumu huko tumepata mwanamke kwa kweli nilifurahia sana mazingira ya huko ikiwa ni pamoja na miundo mbinu ya Barabara.
Shughuli ilikuja kwenye chakula sikufurahishwa kabisa na upishi wa vyakula vyenu hii hata Nairobi nimeiona .jifunzeni kupika bana
Mkuu hili tatizo haliwezi kuisha mara moja, ni walimu wachache pia wanaomudu lugha hii. Haya yote yametokana na mfumo mbaya wa elimu, miaka mingi iliyopita.Hilo ni Tatizo ni lazima mitaala ya kutokea Elimu ya chini iwe English mpaka vyuo vikuu ni Ajabu Wabunge au watunga sera za kungangania kiswahili watoto wao wako English medium na Nje huko hata accent zao za Kiswahili ni mbovu
kuna mjaluo hapa jirani ni maafa mume mkikuyu mke mjaluo sielewagi hii ni ndoa au ni uwanja wa vita?Bora kidogo kwa waluo ila wakikuyu balaa mwanamke kama mwanaume vile mnasimama nae na humwambii Kitu .wanapigwa sana mpaka wanakimbia nyumba
ahaaaa kumbe ?Wengi shule iko kwa mkichwa sasa wewe standard seven ya mkoloni Upo tu kila kitu unamtegemea Mr hio jeuri unaitolea wapi asee?