Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
OKnahisi ni wenyeji wa eneo flani hiv
Ni group adminWakazi ndo nani
KumbeNi group admin
Kazi kweli kweliAina fulani ya mzizi
Wa taifa labdaHivi huyu wakazi kaimba wimbo gani
Yupo sahihi kivipi?Huyo jamaa naona anajiona msanii mkubwa wakati nyimbo zake zinaishia kusikilizwa geto na washkaji zake tuu..asilazimishie umaarufu ..afande licha ya bangi zake katika hili yupo sahihi