kwa uelewa wangu mdogo ni taasisi nyeti but kikatiba na mwongozo wao haina meno kufikia kusitisha program husika ilihali ime detect fraud..rejea ile act yao ya 1990's..kazi yao ni kuatafuta taarifa(kiuchumi,siasa,ulinzi/usalama,etc), kuzifanyia kazi/kuzihakiki but atlast kuwasilisha taarifa kwa chombo au department husika..either wizara flan,Rais etc wao hawachukui action labda inapolazimu lakini mpaka order itolewe...sasa hapo Raisi akipokea taarifa ni juu yake kuzifanyia kazi au kuzitia uvunguni...