Kuhusu Huo UGAIDI na kufanya kazi hazimo katika agenda ( kimatembezi na kibiashara zaidi) sasa kama una paspoti ya nchi tuseme A unaruhusiwa kutembelea na kufanya biashara nchi X ila huwezi kufanya kazi nchi X kwa kuwa kati ya nchi zao Hamna ushirikiano wa kikazi ....hao wataalam nao wakati mwengine hutupelekesha bure