Mimi namuombea aache uwongo ba usanii wa kitotoJamani Leo ni jumapili na niaanza rasmi maombi ambayo yatakuwa mahususi kwa Kamanda Wa mkoa Wa Dar es salaam kutokana na magumu anayoyapitia katika kazi sake . ni ukweli usiopinga kuwa anapita katika kipindi kigumu ambacho kwa hakika anahitaji msaada Wa Mungu ili kuweza kuwa na ustahimilivu katika kazi yake.
Bila shaka wenye akili wamenielewa na wataungana na Mimi kwa maombi
Tatizo tumbo. Angeshastaafu.Kwa nini asistaafu mbona anafanya mambo ya kujiahibisha katika umri mkubwa namna hiyo?
Sasa mbona tumbo haliheshimu kichwa?Tatizo tumbo. Angeshastaafu.
Ukiwa mtumwa wa fisiem lazima uwe na digrii ya uongo!Mimi namuombea aache uwongo ba usanii wa kitoto
Njaa tu inamuweka pale..hajajipanga kimaisha kama walivyo Polisi wengi si juzi tu tumemsikia Kova analalamika njaa mbali ya pesa kibao alizopiga..Kazi nyengine ni za laana tu zilishaandikwa kwenye BibliaSirro yuko over 55, miaka ambayo anaweza kuomba kustaafu kwa hiari na akapata mafao yake bila shida yeyote huku akitunza heshima yake. Kwa sasa heshima yake inashuka kwa kasi ya ajabu kama askari mwenye weledi, amekubali siasa imchafulie miaka yake yote aliyoitumia kwa umahiri.
Aombe kustaafu tutamuelewa.
Haaa!! au vp bwanaTatizo tumbo. Angeshastaafu.
Kwanza nakuunga mkono 100% kwa kulitambua hilo ni kweli huyu mzee wetu huyu sala zinahitajika kwake maana analazimishwa kuwa na maadui wakati yeye si wa hulka hiyo namuombea sana mzee waangu sirro , hata sisi nikimaanisha mimi na mke wangu na watoto tuna fahamu kuwa haya yanayo tokea hupendi ila huna namna tu, maana una familia zinazo kutegemea wewe kupitia ajira yako hiyo.Jamani Leo ni jumapili na niaanza rasmi maombi ambayo yatakuwa mahususi kwa Kamanda Wa mkoa Wa Dar es salaam kutokana na magumu anayoyapitia katika kazi sake . ni ukweli usiopinga kuwa anapita katika kipindi kigumu ambacho kwa hakika anahitaji msaada Wa Mungu ili kuweza kuwa na ustahimilivu katika kazi yake.
Bila shaka wenye akili wamenielewa na wataungana na Mimi kwa maombi
Mmmmh!! Huu ujumbe ni mgumu!!!Hakuna kazi ngumu Duniani Kama kufanya Kazi na Hawara wa Mkurugenzi Mkuu wenu halafu awe Kilaza!
Ungekuwa wewe ungefanyeje maana mambo mengine inabidi kabla ya kulaumu unajaribu kulibeba wewe kwana ndio uwe muhusika halafu ndio ufanye maamuziNjaa tu inamuweka pale..hajajipanga kimaisha kama walivyo Polisi wengi si juzi tu tumemsikia Kova analalamika njaa mbali ya pesa kibao alizopiga..Kazi nyengine ni za laana tu zilishaandikwa kwenye Biblia
Kweli kaibaKwanza nakuunga mkono 100% kwa kulitambua hilo ni kweli huyu mzee wetu huyu sala zinahitajika kwake maana analazimishwa kuwa na maadui wakati yeye si wa hulka hiyo namuombea sana mzee waangu sirro , hata sisi nikimaanisha mimi na mke wangu na watoto tuna fahamu kuwa haya yanayo tokea hupendi ila huna namna tu, maana una familia zinazo kutegemea wewe kupitia ajira yako hiyo.
Mawazo ya kijinga ya wanaccm, MTU akiwakosoa badala ya kufanya marekebisho mnauliza mswali ya kibashiteUngekuwa wewe ungefanyeje maana mambo mengine inabidi kabla ya kulaumu unajaribu kulibeba wewe kwana ndio uwe muhusika halafu ndio ufanye maamuzi