Wakati mahafali ya vijana wa CHADEMA yakizuliliwa,Vijana wa CCM wafanya kwa raha zao

Haya wwe uliye na akili nionyeshe sheria inayohalalisha hayo unayosema???? Usilete ushabiki wakati watu tupo serious hapa.... sheria ya vyama vya siasa lipo wazi kabisa kuwa mikutano ya kisiasa ni haki ya wote haya rais akasema mikutano ifungiwe wote tukakubali kichekesho ccm mnfanya upinzani wananyimwa sasa hiki ni nini?????

Watu kma nyie ndio mnarudisha nchi yetu nyuma miaka 50
Machadema Akili zenu sawa na za nyumbu tu. Kwani mnataka kuwafanyia nini watanzania ambacho ni lazima kifanywe na machadema?
 
Huko Mbeya mahafali ya Vijana wa CHADEMA vyuo Vikuu yakizuiliwa kwa kisingizio cha "siasa" sababu yatajumuisha viongozi wa kanda na kitaifa wa kisiasa,huko kwenu Dar es Salaam vijana wa vyuo vikuu wa jiji hilo wamekutana na kufanya mahafali chini ya ugeni rasmi wa KIONGOZI wa CCM kitaifa.

Sababu za kuzuiliwa kwa mkutano huo huko Mbeya na polisi,ni kuwa mahafali hayo yatakuwa na sura ya kisiasa sbb yatajumuisha viongozi wa chama wa kanda na kitaifa,na hivyo kukinzana na zuio la Serikali la mikutano ya siasa,na pia polisi wakasisitiza kuwa uwepo wa mahafali hayo sio jukumu la wanafunzi bali ni chuo.

Huko kwenu Dsm,si chuo wala nini kilichoandaa,bali vijana wa chama chini ya kada Daniel Zenda.Viongozi wa chama Kitaifa katika ngazi ya UVCCM na ngazi ya Chama walifika ukumbi wa King Solomon na kufanya mahafali ambao ni zaidi ya mkutano wa kisiasa.

Haya mambo ni ya aibu sana kwa polisi,kukandamiza vyama mbadala,hii ni aibu sana kwa huyu baba,anajidai kushinda kwa KO wakati kamfunga kamba mpinzani wake wakati wa mpambano.Huyu baba ana roho ngumu sana na ya ajabu sana.Haya mambo ndio Mama Mghwila anaenda kuyatekeleza huko Kilimanjaro.

Ma-siasa ya hovyo sana ya kukomoana na kuviziana!!hovyooooo sanaaaView attachment 521385View attachment 521386View attachment 521388
Na bado hadi mnyooke
 
Machadema Akili zenu sawa na za nyumbu tu. Kwani mnataka kuwafanyia nini watanzania ambacho ni lazima kifanywe na machadema?
Mada inazungumzia upendeleo kwenye utoaji haki sasa hayo ya kututukana yanatoka wapi..... nchi ina vyama vingi na kila mtu ana uhuru wa kuwa chama chochote sasa wwe kuleta hasira zako hizi au hujui tupo kisheria??? Kma unaona its too much basi washauri wabunge wenzako maana wapo wengi wapeleke muswada bungeni wa kufuta vyama vingi ila haina maana ya kusema tuna vyama vingi wakati nyie wenzetu mnakuwa na chuki hivi kisa siasa now what's machadema?? What's nyumbu???

Anyway na kuhusu swali lako kuhusu kuwafanyia nni watanzania kasome katiba yetu pia kasome ilani ya uchaguzi kma tukipata ridhaa ya kuongoza taifa tutafanya nni utaona yote humo
 
Back
Top Bottom