mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Wakati wa miaka ya 2012 nilikatishwa tamaa na waziri wasira aliposema kuwa cdm itakufa kabla ya 2014,niliogopa na kujutia uamuzi wangu wa kuwa mwanachama wa cdm lkn ilipo fika 2015 baada ya uchaguzi mkuu yule aliye itabilia kifo cdm kumbe ndiyo akaondolewa kwenye dunia ya siasa na vijana wa cdm,na slaa alipohama cdm alisema anaamini ataondoka na vijana wake na wapiga kura woote wa cdm,sasa slaa hasikiki na cdm inazidi kuchanua,kweli mungu siyo Athumani
CDM ni kweli inaimarika......inaimarika kwa kupoteza msingi mkuu wa chama hicho.....inaimarika kwa kushindwa kuwa tumaini la vijana waliokuwa na imani kama chama cha wanyonge, inaimarika kwa kuzidi kukumbatia matajiri, inaimarika kwa kuzidi kutegemea viongozi toka ccm waje kushika nafasi kuu za kiuongozi nchini, inaimarika kwa unafiki na undumilakuwili wa wazi wazi.....