titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,782
Usinchimbe mzee,kesi ya kina max bado mbichii mahakamani usalama humu mdogo,ila kwa kifupi mazingira niliyopo wabongo tunahesabika na karibu wote tunafahamiana majina na occupation,na hao wauza ngada ndo matajiri wakubwa huku kwahyo kuwafahamu ni jambo la kawaida.Unawafahamu drug dealers kumbe....!?