Kuna shida na huyu Mtukufu. Nilikuwa na Boss wangu, he was extraordinary intelligent upstairs in academics, lakini alikuwa kama kuna kitu kichwani hakiko sawa. Akifanya presentation katika International forums, watu wanashangaa how intelligent he is. Lakni kuna mambo alikuwa akiyafanya unaona kama ka kichaa kwa mbali!Na ndiyo maana hata raisi alipaswa kuongoza msiba ule mkubwa. Badala yake alikwenda uzindua hostel! Binafsi sishangai sana maana kuna mengi yanayothibitisha kuwa anayedai kuwa ni ni mtetezi wa wanyonge kiukweli ana namna ya ajabu zaidi ya kuonyesha upendo.