MTU ni Roho sio huu Mwili unaoharibika.......Waislamu wanasema mtu akifa anapigwa marungu sabini kama hakuwa anaswali sasa hapo amesagwa kabisa hivi anapigwaje sasa. I love the Bible inayosema mtu akifa hajui lolote .
Samahani mkuu... Lakini wewe nae so haba kwenye kuleta vitu vya kufanana na hivi humu ndani..Mie nakuogopa sana!Ila hii sio post yangu
Hii..inadhihirisha mwanadamu sikitu chochote mbele za MUNGU mwanadamu ni Vumbi tuYaani unageuzwa sembe hatari sana
Samahani mkuu... Lakini wewe nae so haba kwenye kuleta vitu vya kufanana na hivi humu ndani..Mie nakuogopa sana!
Mwili uharibikao ni jumba tupu baada ya kutengana na rohoWameamua kutengeneza jehanamu hapa dunia.. Hawa jamaa wanafikiria nao watachomwa hivyo watakapokufa..
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app