Wafanyakazi wa UDSM wanawalipisha faini wanaoharibikiwa magari ndani ya chuo

siku zote gari ikiharibika au mafuta yameisha au pancha we fungua boneti tu hakuna atakayekuuliza
 
Pole mkuu. Lipia hiyo taarab uchukue gari yako usepe! Hivyo vibabu vya hapo UD vina stress... Vimesoma wee mpaka vina staafu havina hata kitu cha maana kwa hiyo viko bize kutafuta wa kumtolea stress...
 
Pole sana mkuu, miaka ya zamani kidogo nilikua na mtoto mzuri kwenye majani huko chuo tunapiga story, dah Auxilliary wakatukamata na kutupa kesi kua tunapiga mikasi.
Nakukumbuka wewe kijana si maeneo ya hall 3..
 
Shenzi babako na mamako,umezoea kutukana watu fala wewe,jitazame kwanza,kachambe mbwa wewe,shwineeee
Kwa majibu haya wew hata hiyo faini ilikua kidogo ulitakiwa ulale mahabusu....sasa kama was una majibu ya ovyo kiasi hcho...how about yo wife...
 
Ukipata tatizo la dharula na gari yako chuo kikuu cha Dar es Salaam, unakamatwa na kulipishwa fine. Leo yamenikuta pale UDBS ,gari ilinizimikia sasa wakati natafuta tatizo mambo yakabadilika. Kuna mtu mmoja cheupe hivi ana makovu usoni,akazinguana na mke wangu kisa eti kamjibu vibaya.

Nikaingilia kitaarabu nikaongea na huyo mtu sijui dokta au profesa,nikajua amenielewa kama mwanamme mwenzie dah,kumbe nilikosea.Ile nmemfuata fundi Ubungo nilikuta gari imepigwa mnyororo. Kuulizia wale askari wa auxiliary wananambia eti mke wangu kawatukana UDBS na ili kutoa gari inabidi nilipe fine elfu ishirini na tano.

Nikauliza, nalipa kwa sababu nimepata emergence? Wanasema eti kwa sababu mke wangu kamjibu huyo cheupe vibaya. Wewe sijui profesa, sijui dokta, cheupe hivi wa UDBS Mungu anakuona. Dume zima unashindana na mwanamke tena aweza kuwa binti yako..
Badilisha hicho kichwa cha habari, andika hivi, nimelipishwa faini baada ya mke wangu kumjibu vibaya cheupe wa UDBS
 
Ukipata tatizo la dharula na gari yako chuo kikuu cha Dar es Salaam, unakamatwa na kulipishwa fine. Leo yamenikuta pale UDBS ,gari ilinizimikia sasa wakati natafuta tatizo mambo yakabadilika. Kuna mtu mmoja cheupe hivi ana makovu usoni,akazinguana na mke wangu kisa eti kamjibu vibaya.

Nikaingilia kitaarabu nikaongea na huyo mtu sijui dokta au profesa,nikajua amenielewa kama mwanamme mwenzie dah,kumbe nilikosea.Ile nmemfuata fundi Ubungo nilikuta gari imepigwa mnyororo. Kuulizia wale askari wa auxiliary wananambia eti mke wangu kawatukana UDBS na ili kutoa gari inabidi nilipe fine elfu ishirini na tano.

Nikauliza, nalipa kwa sababu nimepata emergence? Wanasema eti kwa sababu mke wangu kamjibu huyo cheupe vibaya. Wewe sijui profesa, sijui dokta, cheupe hivi wa UDBS Mungu anakuona. Dume zima unashindana na mwanamke tena aweza kuwa binti yako..
Siku nyingine ikifikia hapo wasiliana na vyombo vingine kama polisi au TAKUKURU ili hao mgambo wa chuo uwafundishe adabu, swali langu ni kuwa ulipolipa hiyo hela ulipewa risiti halali ya serikali? Kuna siku nitapita maeneo hayo halafu nitazima gari langu nione huyo dokta aje anilipishe aone cha mtema kuni
 
Wameamua hivyo rist ipo na muhuri wa chuo,nimelipia hapa karibu na alipokuwa akikaa Prif. Luhanga baada ya agricultural science
Siku ingine usipite chuo kikuu na gari lako bovu. Lile eneo sio la kupitisha magari mabovu.Hiyo faini wamekupa ndogo.Utageuzaje eneo la chuo kuwa gereji ya kutengeneza gari lako bovu.Usirudie tena kupita na gari lako bovu hapo.
 
Ukipata tatizo la dharula na gari yako chuo kikuu cha Dar es Salaam, unakamatwa na kulipishwa fine. Leo yamenikuta pale UDBS ,gari ilinizimikia sasa wakati natafuta tatizo mambo yakabadilika. Kuna mtu mmoja cheupe hivi ana makovu usoni,akazinguana na mke wangu kisa eti kamjibu vibaya.

Nikaingilia kitaarabu nikaongea na huyo mtu sijui dokta au profesa,nikajua amenielewa kama mwanamme mwenzie dah,kumbe nilikosea.Ile nmemfuata fundi Ubungo nilikuta gari imepigwa mnyororo. Kuulizia wale askari wa auxiliary wananambia eti mke wangu kawatukana UDBS na ili kutoa gari inabidi nilipe fine elfu ishirini na tano.

Nikauliza, nalipa kwa sababu nimepata emergence? Wanasema eti kwa sababu mke wangu kamjibu huyo cheupe vibaya. Wewe sijui profesa, sijui dokta, cheupe hivi wa UDBS Mungu anakuona. Dume zima unashindana na mwanamke tena aweza kuwa binti yako..
Mfundishe mkeo adabu...hata mm ningemkomesha, mtu umepatwa na matatizo alafu unaleta nyodo.yaani mngenikuta mm ningewatoa kilo kabisa, ajifunze kuheshimu wakubwa ebo
 
actually hao walinzi wa chuo kikuu wanakera. ukipita na kuku, umempata wapi?ukiwa na ng'ombe ndio kabisa umekua deal.wanajifanya hawajui kua ile barabara ni public.

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Tena huko chuo waanzishe tozo kwa kila gari inayokatiza maeneo hayo eg. 5,000/= kwa siku
 
Back
Top Bottom