P J O Senior Member May 3, 2024 114 157 Sep 4, 2024 #1 Ni dhahiri halmashi zetu zinajitahidi kuweka mazingira safi lakini ni vyema zaidi usafi kufanyika asubuhi mapema. Hili litasaidia kupunguza foleni Barabarani na kuhatarisha maisha ya wale WAFANYA kazi wanayofanya usafi.
Ni dhahiri halmashi zetu zinajitahidi kuweka mazingira safi lakini ni vyema zaidi usafi kufanyika asubuhi mapema. Hili litasaidia kupunguza foleni Barabarani na kuhatarisha maisha ya wale WAFANYA kazi wanayofanya usafi.