zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
pita hapa utapata full maujanjaApps gani za cm naweza kutumia kudownlod drama za kikorea?
East of Eden
Giant
The heirs
Boys over flower
City hunter
Jumong
A man called god
Tree with deep roots
The moon that empresses the sun
Gu family book
Kingdom of the wind
49 days
Playful kiss
Iris
Lee Sun shin you are
the best
Love rain
To the beautful you
Coffee Prince
Roof top prince
Personal test
Brilliant legacy
Born of the beautiful
Angel eyes
Bridal mask
Iljimae
Arrow on the bow string
Nyingine nmesahau majina
Powder nakubaliana na wewe 100%Sijaona Kama Iris, movie unatizama wewe kwa mapenzi yako then unapata pressure mwanzo mwisho, sometimes unatamani uingie ndani ya tv kusaidia!
Ni balaa mkuu!Powder nakubaliana na wewe 100%
Shukrani sana
Hahahaaa! kweli aseeSijaona Kama Iris, movie unatizama wewe kwa mapenzi yako then unapata pressure mwanzo mwisho, sometimes unatamani uingie ndani ya tv kusaidia!
pamojaGreener asante kwa list
kuna moja niliona inauzwa but sikuchukua n jina sikumbuki, bt nkipata mda ntakutaftiaGreener nisaidie hili; Don Chuli staa wa East of Eden movie gan nyingine kapiga mzigo
GiantUkweli usiopinginga wala kutia shaka kabisa, kuwa kwa sasa bongo tamthiliya za kikorea ndo pendwa.
Ubora wa picha zao, uigizaji uliotukuka, stori nzuri yenye mpangilio makini. Wakorea wanatisha.
Binafsi sijaangalia nyingi ila kwa hizi chache nazikubali;
1. East of Eden
2. Giant
Wewe zipi?
Yule star boya sanaCity hunter bonge la movie