Wadau, eti kweli Dar kuna joto kiasi hiki?

yaani jua kali sana unaweza kutembea huku unasikia harufu ya mishikaki kumbe unaungua mwenyewe
 
Joto lipo jua kali sana ila sifahamu kama hiyo hatua aliyochukua huyo muhusika itampunguzia joto ni vizuri kunywa maji kwa wingi kuhimwagia maji mara kwa mara kujikinga na kofia au mwavuli ukitembea na kama huna umuhimu wa kutoka nyumbani kukaa chini ya vivuli vya miti na ndani....jua kali sana
 
Halafu utakuta hiyo barafu ndio zile tunawekewa kwenye zile buckets za Heineken.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…