Wadau: Epuka uchumba wa muda mrefu

Wazee wa zamani hawakukaa uchumba wala nini, mzee akimuona binti mzuri leo, anamposea mwanawe na baada ya wiki 3 za maandaliz, ndoa inafungwa!

Yani mchumba kaonekana leo, hazizidi wiki nne ndoa inafungwa fasta na wamedumu miaka dahari hadi kuzikana!!!

Lakini vijana wa siku hizi mnazini miaka Sita mkijidai eti mnachunguzana , Hatimae mnaishia kugegedana tuuu no ndoa!!
 
kweli kabisa na ukiachwa ww mliekaa naye miaka sita ataoa/kuolewa fasta
 
Back
Top Bottom