Wadada, ya kweli haya?

Kwa ufupi hawajuagi wanataka nini kwa wanawake.
nadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.

Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.

wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.

Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
 
Hahaha! Labda mnatafuta nini msichokipata kwa wanawake kuwa mkweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…