Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,773
Nilikuwa na watatu hawajuani uzuri mmoja alipata uhamisho kwa hiyo ikawa long distance love. Lilibumbuluka siku mmoja gari ilikuwa mbovu ikabidi anirudishe kwa pikipiki niwahi kipindi ndipo no 3 aliponiona live. Ujana maji ya motoNdugu yangu,mm nilihtimu Degree ya kwanza mwaka jana mwezi December so maisha ya chuo nayajua kuliko Professor anavyoyajua.Ukienda chuo usijihusishe na wanawake wa chuo na ukishindwa tafuta mwanamke wa mtaani kwaajili ya kukidhi mahtaji ya kisaikolojia na ukishindwa kabisa the lastly choice nenda ukanunue Malaya kwa kuwa huwa wanapatkana kwa urahic sehem za town ukizingatia kwa Tanzania hakuna chuo kikuu kilichojengwa kijijini,enjoy the beautifully life of University.