Wadada tusilazimishe ndoa

jamaan sio vizuri mjue mnavyotufanyia
Kuna akuolewa na wamatumizi wale wa vichupichupi na chura kubwa maringo, kogo i phone 7, kuku na heinken ni wamatumizi alafu wale wanaokujulia hali ukiugua wanaokushawishi ufuate njia ya Mungu (allah) wanaokushauri maendeleo ndio akina mama wenye nyumba, wamatumizi ndoa mtaziskia redion
 
Habari MMU,

Nimekutana na hii story kwenye group letu uko mdada anasema anapendana vizuri na mpenzi wake na kila mtu anaishi kwake wapo kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana. Anasema mwanaume ana kazi nzuri sana ana kila kitu ila akimwambia amuoe mwanaume anamwambia hajajipanga na kuna muda wanagombana akianzisha swala la ndoa.

Wadada wenzangu ndoa hailazimishwi kabisa mwanaume mwenyewe atakuja atakwambia baby nahitaji kukuoa naomba unipeleke kwenu. Haya mambo ya kumlazimisha mwanaume mwisho wa siku ndoa haina amani mwanaume kukurudia usiku wa manane ukimuuliza na kupigwa utapigwa.

Kingine kama Mungu kakuandikia wewe ni wa kuolewa utaolewa tu kama ni wa kudanga utadanga tu, tusikate tamaa hata umri ukienda vipi ipo siku tu.
Mwanakondoo wangu ohh mahubiri yangu pale kanisani yamekujenge sana mpaka umekua na maneno ya busara na hekima upo juu, ila ongeza kasi ya kutoa sadaka hapo tu ndiyo unapo haribu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom