Kaiche
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 147
- 297
Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza first eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana Yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!