Kabila mzee alipopewa support ya kuingia ikulu na Rwanda aliingia mikataba mibovu ya siri na PK hasa remera treaty, ambayo ilimtaka akiingia madarakani tu amege mashariki ya congo kwenye utajiri iwe sehemu ya Rwanda, alipofika ikulu na kugoma kumega nchi yake ndio moto ukawa mkubwa kwani pk akaona katapeliwa haraka sana akakipa kikundi cha m23 nguvu na hadi sasa lile ni jeshi kamili ndio maana unaona wana vifaa vya kisasa kabisa, fedha na wanajitanua sehemu ambazo Zina utajiri mkubwa wa madini ili waibe vizuri, m23= kigali na kampala ndio maana muhoozi wakati jeshi la kenya lilipotangaza kwenda kuwafurusha m23 alisema wazi wale ni ndugu zao atawatetea Kwa nguvu zote na kuitukana ikulu ya nairob wazi kabisa sasa sababu kenya watu wa dili walipofika tu huko wakapenyezewa utamu wa madini ghafla wakabadili msimamo, na Kwa sasa wakarudi kwao,