House4Rent Vyumba vinapangishwa

The mo

New Member
Jan 29, 2017
3
6
Mahali: Kifuru mwanzo mgum jirani na stend mpya ya Mbezi Luis

Vyumba bado Vipya ko havina kipengele

Vyumba ni viwili yani sebule na chumba

Self container kwa kila mpangaji

Umeme kila mpangaji mita yake poa

Maji kila mpangaji mita yake

Umbali kutoka barabara ya lami inayoenda Mbezi Luis/ Temeke/ Segerea l/Kinyerezi ni dakka 4 tu

Gharama ni Tsh 100-120K/Mwezi kutegemeana na vyumba

Ni mahali pazur kukaa na familia yako au single mana sehem haina kelele na mwenye nyumba hakai hapo

Nyumba haina dalali ila utanipa 15,000 ya kukupeleka

Piga namba 0757160773 pia ipo wasap hyo namba
BE381191-6E88-4793-8E7F-F453D9716FA1.jpeg
4D3BF6E2-7B43-4E49-97BA-2D69B2B6A241.jpeg
A6FED7AD-E617-48E6-996E-F99022DCA6C1.jpeg
3400AC99-6629-4087-9053-6029ECA20815.jpeg
1FDA2234-2B53-4505-AEB9-6D68E6D57DAD.jpeg
 
Back
Top Bottom