Huku niliko mm ilikuwa inauzwa 2500 sasahivi inauzwa 3000 yaani no inasomeka kwelikweliWadau kuna habari zinasambaa kwa kasi sana mitandaoni kwamba sukari imeanza kupanda bei kutoka 2000 mpaka 2500...huku niliko sasa hivi inauzwa 2300 kutoka 2100.
==============================
""" "Habarini za asb ndugu zangu. Natumai kwa uweza wa Mungu mmeamshwa salama. Nasi huku hatujambo.
Niombe kuwasisitiza ndugu zangu tununue sukari tuweke akiba. Maana kuna uwezekano sukari ikaadimika madukani mpaka mwezi wa sita au wa saba. Tangu Ijumaa Kiwanda wa Sukari cha TPC kimesitisha uzalishaji. Na sukari imeshaanza kupanda bei. Nimewasiliana na Mkuu wa Wilaya ya Moshi akanimbia hali ya Upatikanaji wa sukari hautakuwa mzuri. Ni mpaka miezi hiyo niliyotaja. Ila wanapambana kuwajua watu wanaochochea upandaji wa Bei.
Ni hilo tu. Siku njema"""""
----------------------------------
HII NI MOJA YA MESEJI ILIYONUKULIWA KUTOKA MAHALI FULANI,MTUMAJI WA HIYO TAARIFA TUNA MUHIFADHI KWA SASA.
tunaomba wajuzi wa mambo ya sukari mtupe taarifa kamili maana hali hii inataleta sintofahamu kwa wananchi.kama nikweli basi pia tunaomba serikali iingilie kati swala hili ili maisha yasizidi kua magumu na ukizingatia mwezi mtukufu wa ramadhani uko karibu.
life goes on, nawakomoa wapandisha bei. Siangaiki na vyakula vinavyopanda bei kila kukicha.Kwaiyo unakula mkate na soda kama teja?
Vikiingia tumboni vinatoka saa hiyo hiyo au vinatoka kwa njia ya hewa?hata mahindi yame panda bei...imefikia hatua huku mbeya tunashindia viazi,,,njaa kila mda inauma si mnajua viazi havikai tumboni
digestion ya viazi tumbuni ipo na speed sana kuliko vyakula vigumu kama ugali, chapati, mabumundaVikiingia tumboni vinatoka saa hiyo hiyo au vinatoka kwa njia ya hewa?
Viazi vitamu au viazi ulaya? sipati picha hiyo gesi tumboni teh teh teh...hata mahindi yame panda bei...imefikia hatua huku mbeya tunashindia viazi,,,njaa kila mda inauma si mnajua viazi havikai tumboni
Tutatia adabu bababake...inatakiwa ifike Kg 1 kwa Tshs 11,000
hajajaja asante kwa kutunyambulia unga wa bashite ndo umependa kwa speed i gues wamepata walichokitafta at the same time mateja wameongeza roba mbao..sio kwamba ndo wameachasukari
gas
mafuta
unga both(ule makonda na gsm wanaouza na wa mahindi)
Huna akili. Wabaya wa wakulima ni madalali wa mazao, wewe akili zako ziko matakoni.Kati ya vitu vinavyofanya nimuunge sana mkono magufuli ni mambo ya vyakula kupanda bei, wabongo mnadhalau sana mkulima, ngoja muone umuhimu wa chakula sasa
Wewe inaonekana hujui biashara zinavyoendeshwa ila umekariri hesabu tu.1400 x 2 = 2800
Mkuu kaaa?!!!! Acha jazbaHuna akili. Wabaya wa wakulima ni madalali wa mazao, wewe akili zako ziko matakoni.