Vodacom kuanza kuuza hisa Machi 9

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
323
105
Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) itaanza kuuza hisa zake milioni 560 kwa thamani ya Shilingi 850 kila hisa. Mauzo yataanza tarehe 09.03.2017 na kufungwa tarehe 19.04.2017.

======

YAWAPIGA MSASA MAWAKALA WATAKAOKUSANYA FEDHA ZA HISA

Mawakala wa kuuza hisa za Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom TanzaniaPLC, wamepatiwa mafunzo elekezi ya siku moja yaliyokuwa na lengo lakuwaelimisha jinsi ya kukusanya fedha wakati wa zoezi la kuuza hisa zakampuni hiyo litakapoanza hivi karibuni tukio ambalo limekuwa likisubiriwakwa hamu kubwa na watanzania walio wengi.

View attachment 477950
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao akifafanua jambo kwa mawakala (hawapo pichani )wakati alipokuwa akitoa mafunzo elekezi ya siku moja jijini Dar es Salaam leo juu ya ukusanyaji wa fedha wakati wa zoezi la kuuza hisa za kampuni hiyo litakaloanza hivi karibuni.

Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Mlimani City ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ian Ferrao alisema “Tunawashukuru kwa ushirikiano wenu tangia tulipoanza mchakato wa maombi ya kuuza hisa kwa umma hadi kufkia sasa ambapo tayari tumepata kibali cha kutekeleza zoezi hili kutoka serikali kupitia Mamlaka ya Dhamana Masoko na Mitaji (CMSA) na mkiwa wabia wetu katika mchakato huu tumewaita kwa ajili ya kubadilishana mawazo jinsi tutakavyofanikisha matarajio yetu tuliyokusudia na kuwa tayari kwa kazi iliyosubiliwa kwa muda mrefu”.

Ferrao alieleza kuwa Vodacom inatarajia kuuza asilimia 25% ya hisa zake kwa umma zenye thamani ya shilingi Bilioni 476/-na kila hisa itauzwa kwa shilingi 850/-

Vodacom Tanzania PLC,imekuwa ya kwanza kutekeleza sheria ya Electroniki na Mawasiliano ya Posta (EPOCA) na sheria ya fedha ya mwaka 2016 inayoyataka makampuni kumilikisha asilimia 25% ya hisa zake kwa umma kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Ferrao, wananchi wataweza kununua hisa za zao katika matawi ya Benki ya NBC na mawakala wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) waliopo nchini kote.

Wakati zoezi la uuzaji hisa za Vodacom linatarajiwa kuanza rasmi hivi karibuni,wawekezaji na wananchi wamekuwa wakisubiri kwa shauku kubwa ambapo wamekuwa wakifuatilia kwa karibu jinsi zoezi hili linavyoendelea ili waweze kujipatia fursa ya kumiliki hisa katika kampuni kinara ya mawasiliano nchini.
View attachment 477951

View attachment 477952
 
Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) inampango wa kuuza hisa milioni 560 kwa thamani ya Shilingi 850 kila hisa.

Mauzo yataanza Alhamisi tarehe 9 Machi 2017 na hisa zitakuwa sokoni kwa muda wa wiki sita.
Ukienda website ya dse na CMSA utapata details.
 
YAWAPIGA MSASA MAWAKALA WATAKAOKUSANYA FEDHA ZA HISA

Mawakala wa kuuza hisa za Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom TanzaniaPLC, wamepatiwa mafunzo elekezi ya siku moja yaliyokuwa na lengo lakuwaelimisha jinsi ya kukusanya fedha wakati wa zoezi la kuuza hisa zakampuni hiyo litakapoanza hivi karibuni tukio ambalo limekuwa likisubiriwakwa hamu kubwa na watanzania walio wengi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao akifafanua jambo kwa mawakala (hawapo pichani )wakati alipokuwa akitoa mafunzo elekezi ya siku moja jijini Dar es Salaam leo juu ya ukusanyaji wa fedha wakati wa zoezi la kuuza hisa za kampuni hiyo litakaloanza hivi karibuni.

Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Mlimani City ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ian Ferrao alisema “Tunawashukuru kwa ushirikiano wenu tangia tulipoanza mchakato wa maombi ya kuuza hisa kwa umma hadi kufkia sasa ambapo tayari tumepata kibali cha kutekeleza zoezi hili kutoka serikali kupitia Mamlaka ya Dhamana Masoko na Mitaji (CMSA) na mkiwa wabia wetu katika mchakato huu tumewaita kwa ajili ya kubadilishana mawazo jinsi tutakavyofanikisha matarajio yetu tuliyokusudia na kuwa tayari kwa kazi iliyosubiliwa kwa muda mrefu”.

Ferrao alieleza kuwa Vodacom inatarajia kuuza asilimia 25% ya hisa zake kwa umma zenye thamani ya shilingi Bilioni 476/-na kila hisa itauzwa kwa shilingi 850/-

Vodacom Tanzania PLC,imekuwa ya kwanza kutekeleza sheria ya Electroniki na Mawasiliano ya Posta (EPOCA) na sheria ya fedha ya mwaka 2016 inayoyataka makampuni kumilikisha asilimia 25% ya hisa zake kwa umma kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Ferrao, wananchi wataweza kununua hisa za zao katika matawi ya Benki ya NBC na mawakala wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) waliopo nchini kote.

Wakati zoezi la uuzaji hisa za Vodacom linatarajiwa kuanza rasmi hivi karibuni,wawekezaji na wananchi wamekuwa wakisubiri kwa shauku kubwa ambapo wamekuwa wakifuatilia kwa karibu jinsi zoezi hili linavyoendelea ili waweze kujipatia fursa ya kumiliki hisa katika kampuni kinara ya mawasiliano nchini.

Ulikuzingua nini mkuu?
Juzi tu kuna watu wamejiunga handle via Mpesa lkn majibu hayakurudi!mpaka sasa ....vodacom wanapigiwa customer service hawapokei sim Vodacom mtandao wa kihuni kabisa....hisa hzo sana sana wafawaibia wateja
Wao tu

Ova
 
mi pia imenitokea jana hii...na hela kwa mpesa walikata
 
Kwa share hizi za vodacom ndo utajua watanzania wana hela. I guess the shares will be over subscribed
 
watanzania hela wanazo... japo wanajifanya hawana...

hata ist ada milion 20 chekechea nafasi zinajaaaa...

Kwa share hizi za vodacom ndo utajua watanzania wana hela. I guess the shares will be over subscribed
 
Juzi tu kuna watu wamejiunga handle via Mpesa lkn majibu hayakurudi!mpaka sasa ....vodacom wanapigiwa customer service hawapokei sim Vodacom mtandao wa kihuni kabisa....hisa hzo sana sana wafawaibia wateja
Wao tu

Ova
Tofautisha huduma ya wafanyakazi na uwekezaji wa kwenye hisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…