Habari zenu wakuu.
Kuna mashamba mawili yanauzwa KILAPULA,ni KM 20 kufika Tanga mjini.
(a) Eneo lina ukubwa wa hekari 5,lipo kandokando mwa barabara kuu/lami ya Tanga to Muheza
Lina ofa tayari,kinafaa sana kwa matumizi ya kituo cha mafuta,shule nk,eneo lina miti michache ya miembe.
Bei ni 70milioni
(b)Eneo lina ukubwa wa ekari 10,lipo umbali wa mita 400 toka barabara kuu/lami ya Tanga to Muheza
Eneo halina ofa,eneo linafaa sana kwa shule,kilimo nk,eneo lina mikorosho mikubwa.
Bei ni 20milioni
Huduma za maji na umeme ni karibu sana na mashamba hayo.
Kwa akayekuwa na uhitaji tuwasiliane 0752489529