Okay nitamtuma Kijana wangu aje kumalizana na wewe kwasasa nipo MINJINGU Porini.Njoo ulipie mkuu.
Waweza kuweka umbali wa kufika huko Tegeta A kutokea Goba, Madale au Mbezi Mwisho??Ni maauzi yako.
Unafika Tegeta A kupitia Mbezi beach,Goba,Madale au Mbezi mwisho(Kimara).
Nicheki kwenye namba hio kwa maelezo zaidi.
Ningekua sijasoma tangazo nisingejua kama hujaweka umbali wa Tegeta A ndio maana nikakuambia uweke, na ukiweka namba ya simu ndio huruhusiwi kuulizwa humu??Soma tangazo mkuu.
Pia sijapima umbali wa sehemu zote namba ya simu mbona nimeweka.
Ningekua sijasoma tangazo nisingejua kama hujaweka umbali wa Tegeta A ndio maana nikakuambia uweke, na ukiweka namba ya simu ndio huruhusiwi kuulizwa humu??
Ningekua sijasoma tangazo nisingejua kama hujaweka umbali wa Tegeta A ndio maana nikakuambia uweke, na ukiweka namba ya simu ndio huruhusiwi kuulizwa humu??
Nawe basi sawaYaani niende kupima barabara zote hizo na pesa nitoe wapi.
Kama mteja ungefika eneo la tukio na gari lako then unapita barabara zote ukiwa na mafuta ya kutosha.
Ukija na mteja mkifika pale Mbezi Mwisho unamwambia tu aangalie Odometer yake, labda useme hujawahi kupata mteja mwenye gariKupima umbali wa barabara zote hizo ni pesa na muda wa kutosha.
Ukija na mteja mkifika pale Mbezi Mwisho unamwambia tu aangalie Odometer yake, labda useme hujawahi kupata mteja mwenye gari
Kununu plot ambaye hajapimwa ni kujiletea umasikini tu mbelen huko utawacha familia yako inahangaika tu .