Plot4Sale VIWANJA VINAUZWA, Bei ya kumalizia

Genchi

Member
Aug 19, 2014
94
45
Kama ww bado hujapata kiwanja kwaajili ya kuandaa makaz yako hii siyo ya kukosa,
Jipatie sasa kiwanja ndan ya jiji la dar Kwa bei ya sawa na bure,,
Ni chatembo mwandege nyuma ya kiwanda cha BAKHRESA,

BEI 1500000-(milion na nusu ) maelewano yapo.

Ukubwa ft 50 Kwa 50.

Maji na umeme vinapatikana.

Mawasiliano
0683 77 55 66
0714 77 55 66

Kwenda kuona ni bure, usafir unapatikana mbagara rangi 3

Wote mnakaribishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1m equals to 3ft, so 50/3= almost 17,
kwahiyo viwanja vyako ni 17 m kwa 17m sawa na sq m 289,so bei ya per sq m ni 1,500,000/289 =5100


haya asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom