Hiyo ni kama Posta mpaka Kibahani mbali kidogo kama 45 km approximately.
Hiyo ni sawa na posta hadi Kwa Mfipa Kibaha,.kilometa tano kabla ya Kongowe. Kumbuka Kongowe hadi Dar ni kilometa 50. Na zero Distance kwa Dar es Salaam ni Clock Tower.Hiyo ni kama Posta mpaka Kibaha
ukorofi tuuHiyo ni sawa na posta hadi Kwa Mfipa Kibaha,.kilometa tano kabla ya Kongowe. Kumbuka Kongowe hadi Dar ni kilometa 50. Na zero Distance kwa Dar es Salaam ni Clock Tower.
Au umbali huo ni karibu sawa na Dar to Kiwangwa kwa Bagamoyo road au Dar t to Mkuranga kwa Kilwa road. Na hapa Dar namaanisha Clock Tower!
Kama kutoka hadi mbele ya ruvu karibu chalinze hiyo. Yani kutoka feri hadi huko ndo mbali kiasi hicho? Huko kuna wanakijiji wanaishi au ni pori tu?ni mbali kidogo kama 45 km approximately.
Acha mchezo wewe hiyo ngoma ni zaidi ya posta kibaha hiyo.Hiyo ni kama Posta mpaka Kibaha
He! Basi ni Wilaya ya Mkuranga huko!ni mbali kidogo kama 45 km approximately.
Yani ni mbali. Angetuambia na bei ingekuwa poaHe! Basi ni Wilaya ya Mkuranga huko!
mkuu umbali na wapi.?uku ndo manispaa ya kigamboni itajengwa kwa mbele kidogo kuna mradi wa avic town uko ndani wamewekama shopping malls,na ma recreational centre kibao beach zimetapakaa kila mahali ts fun asikwambie MTU.Duh huo umbali ndio issue