Plot4Sale Viwanja Dar Vikindu

Raymond mruma

New Member
Jun 6, 2022
3
3
Karibu vikindu pwani wilaya ya mkuranga mtaa wa malela kisayan ujipatie kiwanja Kwa Bei nafuu ukubwa wa eneo ni futi 50 Kwa 40 Bei laki sita na huduma zote za kijamii zinapatikana Kwa muhitaji piga namba 0676338052 pia hii namba ipo what's App
NB: viwanja vina hati ya serikali ya mtaa
IMG-20231112-WA0002.jpg
IMG-20231112-WA0000.jpg
 
Mh hakuna utapeli kweli hapo........................ukubwa huo bei hiyo kweli. Basi ngoja nije huko...
Karibu vikindu dar es salaam vikindu ujipatie kiwanja Kwa Bei nafuu ukubwa wa eneo ni futi 50 Kwa 40 Bei laki sita na huduma zote za kijamii zinapatikana Kwa muhitaji piga namba 0676338052 pia hii namba ipo what's App
 
Viwanja vipo vikindu wilaya ya mkuranga mtaa wamalela kisayan na pia vina hati ya serikali ya mtaa
 
Katika matangazo jaribuni kuwa WA kweli ili msipotezee watu muda wao.

Huduma za kijamii zipo ambazo zipo hapo malela????

Hapo ni zaidi malela ,hakuna umeme Wala maji alafu nyie katika matangazo YENU mnaweka huduma za kijamii zote zipo.!

Tangazo lenu limekaa kimkakati sio vyema japo hakuna utapeli mana nawafahamu vizuri

Kutoka vikindu tu mpaka site ni 14 kilometers
 
Na huu ndio ukweli kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom