mtanda3 New Member Jan 3, 2017 1 1 Jan 17, 2017 #1 Habari wadau, Napenda kujua vitunguu maji vinakomaa kwa siku ngapi?
A2G JF-Expert Member Nov 17, 2016 283 829 Jan 27, 2017 #3 Hivi vitunguu mwaka huu kazi ipo maana kila mtu anataka kulima
chagga boyyy Member Jan 10, 2017 45 12 Jan 29, 2017 #4 A2G said: Hivi vitunguu mwaka huu kazi ipo maana kila mtu anataka kulima Click to expand... watuwengi wasikutishe mana kupanga jambo na kutekeleza jambo ni vi2 vi2 tofaut so wanamipango weng ila watakao fanikisha wachache ndugu
A2G said: Hivi vitunguu mwaka huu kazi ipo maana kila mtu anataka kulima Click to expand... watuwengi wasikutishe mana kupanga jambo na kutekeleza jambo ni vi2 vi2 tofaut so wanamipango weng ila watakao fanikisha wachache ndugu
H Hwasha JF-Expert Member Aug 22, 2015 1,271 720 Jan 30, 2017 #5 chagga boyyy said: watuwengi wasikutishe mana kupanga jambo na kutekeleza jambo ni vi2 vi2 tofaut so wanamipango weng ila watakao fanikisha wachache ndugu Click to expand... Una akili kubwa na matumizi mazuri ya akili yako,utfanikiwa sana.Wengi wanapotea kwa kuwasikiliza wengine na akili zao wanazinyamazisha kimya.Hongera kwa kutambua thamani ya akili yako.
chagga boyyy said: watuwengi wasikutishe mana kupanga jambo na kutekeleza jambo ni vi2 vi2 tofaut so wanamipango weng ila watakao fanikisha wachache ndugu Click to expand... Una akili kubwa na matumizi mazuri ya akili yako,utfanikiwa sana.Wengi wanapotea kwa kuwasikiliza wengine na akili zao wanazinyamazisha kimya.Hongera kwa kutambua thamani ya akili yako.