Vita vya kusaka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu UVCCM bara vyapamba moto

Tao

Senior Member
Nov 10, 2018
105
195
Vita vya kusaka nafasi ya Naibu katibu Mkuu UVCCM Bara vimepambana moto kwelikweli.

Nafasi hiyo iko wazi baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ndugu Galila Wabanhu kuondolewa katika nafasi hiyo kutokana na tuhuma kadhaa za kimaadili.

kUTOKANA na vyanzo vya uhakika wafuatao wako vitani kuhakikisha wanapata uteuzi wa nafasi hiyo.

1. YUSUPH MRIMI
Huyu ni mtumishi wa Benki ya EXIM ambaye mara kadhaa amekuwa akionekana maeneo ya Lumumba akiwa na vijana fulani hivi wanaounda inner cycle ya kiongozi mmoja ambaye ni msaka urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Yusuph ambaye hujitangaza waziwazi kuwa ni Afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa si mwana CCM kwakuwa hana hata kadi ya mwanachama wa CCM.

Silaha yake kubwa anayotumia ni kutafuta appointment na baadhi ya viongozi wa CCM hasa wajumbe wa secretariat na kuwachafua wale anaohisi ni threats kwake. Hata hivyo kwakuwa siyo mwana CCM motive yake ya kutaka nafasi hiyo haijajulikana.

Vilevile amejiattach na kundi hilo la msaka urais akiamini nguvu aliyonayo ndani ya chama na serikali inaweza kumwezesha kupasua.

Changamoto nyingine ni kuwa baadhi ya vijana wanaoonana uso kwa uso na msaka urais huyo wa 2025 nao wanasaka nafasi hiyo kwa udi na uvumba.

2. JAPHARI KUBECHA MGAMBA
Huyu kwasasa ndiye mneki wa UVCCM

Alipata nafasi hiyo baada ya kijipendekeza kwa muda mrefu kwa Galila wabanhu na hivyo Galila ambaye kwa wakati huo alikuwa na nguvu kubwa ndani ya jumuiya kutokana na kuwa kijana wa karibu wa JPM kumwezesha kushinda nafasi hiyo kwa kuwaadaa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM kuwa anatakiwa na JPM.

3. LEONARD SINGO
Huyu alikuwa mkuu wa idara ya Hamasa na Chipukizi UVCCM, Hata hivyo aliondolewa baada ya kushindwa kazi na kuonekana ni mzigo ndani ya Jumuiya hiyo.

Kwakuwa ni Mpare amekuwa akimtumia msaidizi wa Hamdu Shaka [Mwenezi wa taifa] aitwaye Masiga ambaye ni mchagga ili amuombee nafasi hiyo kwa bosi wake.

Hizi ni fitna tu kwani japo Mwenezi hana mamlaka ya kufanya uteuzi huo anaamini ana nguvu ya ushawishi kwa baadhi ya wajumbe wa kamati kuu.

SISI NI OBSERVERS.
YETU MACHO
 
Hiyo nafasi si Mwenyekiti tu anateua . na msipoangalia mnaweza teuliwa mzanzi na mbara kushika nafasi hiyo.
Kama kuna wazanzibar kibao wameteuliwa kuwa ma Dc huku bara , kilemba hakiwezi shindwa fanya hivyo
 
Vita vya kusaka nafasi ya Naibu katibu Mkuu UVCCM Bara vimepambana moto kwelikweli.

Nafasi hiyo iko wazi baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ndugu Galila Wabanhu kuondolewa katika nafasi hiyo kutokana na tuhuma kadhaa za kimaadili.

kUTOKANA na vyanzo vya uhakika wafuatao wako vitani kuhakikisha wanapata uteuzi wa nafasi hiyo.

1. YUSUPH MRIMI
Huyu ni mtumishi wa Benki ya EXIM ambaye mara kadhaa amekuwa akionekana maeneo ya Lumumba akiwa na vijana fulani hivi wanaounda inner cycle ya kiongozi mmoja ambaye ni msaka urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Yusuph ambaye hujitangaza waziwazi kuwa ni Afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa si mwana CCM kwakuwa hana hata kadi ya mwanachama wa CCM.

Silaha yake kubwa anayotumia ni kutafuta appointment na baadhi ya viongozi wa CCM hasa wajumbe wa secretariat na kuwachafua wale anaohisi ni threats kwake. Hata hivyo kwakuwa siyo mwana CCM motive yake ya kutaka nafasi hiyo haijajulikana.

Vilevile amejiattach na kundi hilo la msaka urais akiamini nguvu aliyonayo ndani ya chama na serikali inaweza kumwezesha kupasua.

Changamoto nyingine ni kuwa baadhi ya vijana wanaoonana uso kwa uso na msaka urais huyo wa 2025 nao wanasaka nafasi hiyo kwa udi na uvumba.

2. JAPHARI KUBECHA MGAMBA
Huyu kwasasa ndiye mneki wa UVCCM

Alipata nafasi hiyo baada ya kijipendekeza kwa muda mrefu kwa Galila wabanhu na hivyo Galila ambaye kwa wakati huo alikuwa na nguvu kubwa ndani ya jumuiya kutokana na kuwa kijana wa karibu wa JPM kumwezesha kushinda nafasi hiyo kwa kuwaadaa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM kuwa anatakiwa na JPM.

3. LEONARD SINGO
Huyu alikuwa mkuu wa idara ya Hamasa na Chipukizi UVCCM, Hata hivyo aliondolewa baada ya kushindwa kazi na kuonekana ni mzigo ndani ya Jumuiya hiyo.

Kwakuwa ni Mpare amekuwa akimtumia msaidizi wa Hamdu Shaka [Mwenezi wa taifa] aitwaye Masiga ambaye ni mchagga ili amuombee nafasi hiyo kwa bosi wake.

Hizi ni fitna tu kwani japo Mwenezi hana mamlaka ya kufanya uteuzi huo anaamini ana nguvu ya ushawishi kwa baadhi ya wajumbe wa kamati kuu.

SISI NI OBSERVERS.
YETU MACHO
Porojo dot com, kuteuliwa Uvccm siyo lazima uwe na kadi ya ccm.

Ukiwa kwenye kamati ya fitina make sure upstairs upo smart.
 
Hawagombei kuteuliwa ,wanagombea kupata riziki bila ya kutumia jasho,kikao posho,yaani wanauwana kwa ajili ya posho na sio uongozi,CCM viongozi weshapita. Tuna wasaka tonge.
 
Back
Top Bottom