VIongozi wetu onesheni mfano kwa kupima VVU hadharani katika maadhimisho ya leo tarehe 1 Desemba, 2024

Jenista na Dorothy hawajitokeza kwenda kopimaa?

Unawezaje kuhamasisha wananchi wakapime wakati Waziri wa Afya kalala mbele?
hii vita ya kupambana na ukimwi inahitaji wapambanaji wa kweli ambao wataongoza mapambano kwa matendo.

Leo hii tumewasukumizia wananchi ndio wanao ongoza mapambano, viongozi wamerudi nyuma.
Kwani kuna tatizo gani kama kiongozi akapima na kutangaza majibu yake kama ni positive aseme na awe mfano bora.
 
Wamerara mberee
 
Mampambano ya virusi vya ukimwi yanahitaji viongozi watakao onyesha mapambano kwa vitendo sio maneno.
 
Viongozi wetu wa serikalini kuanzia na waziri wa Afya na wengine onyesheni mfano kwa kupima VVU hadharani ili kuhamasisha wananchi mnao waongoza kuhamasika kupima kwa hiyari.

Ongozeni kwa vitendo, punguzeni maneno mengi.
Una nia ya kuchafua hali ya hewa?
 
Viongozi wetu wa serikalini kuanzia na waziri wa Afya na wengine onyesheni mfano kwa kupima VVU hadharani ili kuhamasisha wananchi mnao waongoza kuhamasika kupima kwa hiyari.

Ongozeni kwa vitendo, punguzeni maneno mengi.
Viongozi wapi hao 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom