Viongozi wengi wanaoteuliwa ni ''zao'' la UDSM, hizi siyo fikra potovu?

Duh!!!
Tumeibiwa!!!!
 
Makinda - Mzumbe, Esther Matiko - SUA na UDSM, Dr. S. Kebwe KCMC na MUHAS, Lusinde- elimu ya msingi, Maji Marefu......, Nkamia..,...., Mbowe......, hao wote ni viongozi sasa sijui viongozi gani unazungumzia wapo wengi tu ukifanya utafiti utjua
 
hahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…