LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,749
- 9,864
Gwajima hawamkemei yoyote, ila anatukana tu watu anaotofautiana nao. Alimtukana MAKINDA, akaja PENGO, DIAMOND, MAKONDA - Anaogopa tu kumtusi MAGUFULI kwasababu anaijua MAMLAKA yake. Nani hajui GWAJIMA ni TAPELI na ni MFUASI wa LOWASSA kama alivyo ASKOFU SHOO ?
Dr Askofu Gwajima pita na huku ujionee..