Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,742
- 239,381
Tumesema mara nyingi humu JF na kwingineko kuhusu unyama unaofanywa na serikali ya Tanzania kwa kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyanyasa viongozi na wanachama wa Chadema , kwa kuwabambikia kesi za uongo ili kuiokoa ccm , lakini tukaishia kubezwa , kutukanwa na kusimangwa .
Leo Viongozi 18 wa Chadema Tunduma akiwemo Ally Mwafongo aliyekuwa Mstahiki Meya wameachiwa huru na Mahakama kwa vile hawana kosa lolote , hawakutenda mauaji , hawa watu wamekaa gerezani zaidi ya mwaka mmoja kwa kesi ya uongo , RPC aliyeongoza kutunga uongo bado yuko kazini na amehamishwa mkoa badala ya kutimuliwa kazi , IGP Sirro aliyesimamia Uchafu huu kikamilifu bado yuko madarakani badala ya kutimuliwa kwa kusingizia raia wema kesi ya uongo ya mauaji .
Hata hivyo bado viongozi wengine 22 wangali wanashikiliwa gerezani , Juhudi za kuwapigania zinaendelea .
Narudia tena na msije kusema sikuwaambia, HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , Hili Sirro na kundi lake wakae wakijua hilo katika maisha yao yote , Mungu siyo Fala