Vimande; Viagra ya kisambaa

Mshana - vina pikwa au ina vitu gani ndani ? sijawahi kusikia au kuona vitu hivi
Ni ndizi zilizo iva. Zinatwangwa kwenye kinu na kuchemshwa taratiiibu. Kisha unafunga kwenye majani ya mgomba tayari kwa kula au kuuza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…