LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,431
- 12,292
Imefika kipindi tu ukifungua App ya jf basi katika mada tano za juu huwezi kosa mada ya kataa ndoa au wanawaka wanaomba sana pesa yaani hoja ya kuwaponda wanawake kuwa ni omba omba huwezi ikosa vijana wanalia lia tu
Jamani mtu ukiwa na hela utajikuta mwenyewe unahonga tu ila pesa ikiwa haipo utaona kama adhabu kuombwa hela, Ukiwa na hela huwezi kuja na mada ya kataa ndoa hapa au kataa mahusiano piga nyeto ww sema hela huna ila Rafiki wa hela ni mwanamke, Ukiwa huna hela utalalamika kataa ndoa Ila siku ukizipata utaoa tu ww sema hapo huna hela bas
Mnaolalamika kuwa ni Kosa huhudumia Binti aliyekwao na ni ombaomba hata wewe unatakiwa uache kuomba tendo la ndoa kabla hujamuowa ili na yeye aendelee kuhudumiwa na wazazi wake, Inshort vijana wa sasa mnataka mserereko yaani mnataka kupewa tendo linalostahili kupewa kwenye Ndoa alafu na hela hamtoi eti akahudumiwe na wazazi wake uliwahi ona wapi