Vijana tuamke na kumsupport Rais wetu

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,981
45,904
Vijana wenzangu sisi tunatengeneza zaidi ya asilimia 60 ya idadi ya wakazi wote wa Taifa letu.

Babu zetu waliishi kwa dhihaka, dharau,amri, viboko na kila aina ya udhalilishaji. Tatizo ilikua ni ukosefu wa elimu.

sasa tumeenda shule kwa elimu waliyotupa wao, tunajielewa.

Rais wetu anasema kua haoni haja ya kuendelea kuomba wakati tuna kila kitu. Mungu katupendelea.

Sisi ni nguvu kazi ya Taifa hili. je ni sahihi kwa sisi kuendelea kuishi maisha ya babu zetu ya woga na kutojiamini?

Lini tutaachana na huu ujinga?
Lini tutaona umuhimu wa kujitegemea?

Tufanye kazi kwa kujenga nchi yetu.

Vizazi vijavyo vitapima busara zetu kwa maamuzi tutakayofanya leo.
 
Kwenye red unajaribu kudanganya .. ukweli ni kwamba tuliomba msaada na matokeo yake tukanyimwa kwa kutokuheshimu mawazo ya watu na maamuzi ya wengi kupitia sanduku la kura..
 
Kwani tumelala?
 
Aniambie kwanza bajeti ya ya wizara ya elimu kwaajili ya kuajiri waalimu wapya imeenda wapi,mpaka tusubiri bajeti mpya,akijibu hilo NITAMSAPOTI,la sivyo ondoa ujinga hap
serikali ilitambua hili kitambo; imejipanga; bajeti ijayo itasema kila jambo.
 






Nakuunga mkono,nipo tayari kubeba sululu,jembe na kila zana zinazohitajika ili tuzibomoe barabara zote,tung'oe nguzo zote za Umeme na kuharibu miradi yote iliyijengwa kwa fedha za wahisani.Hatuwezi kuendelea kuwa wapumbavu wa kutumia miundimbinu iliyojengwa kwa fedha za wahisani wakati tuna uwezo wa kujenga kwa fedha zetu za ndani.
 
Hii ni thread ya kishujaa sana...IT IS NOW OR NEVER!!
 
serikali ilitambua hili kitambo; imejipanga; bajeti ijayo itasema kila jambo.
Bajeti ijayo ya Nini,ina maana bunge lililopita hawakutenga hela kwaajili ya ajira mpya?? Kama walitenga zimeenda wapi?? Afu nimesema anijibu urais sio wewe mkulima wa kawaida hujui lolote....siwezi kusapoti ujinga
 
nimelima.nyanya niliishia kuwapa ngo'mbe kama kachumbari, mwambie huyo rais wako ajenge viwanda vya kutosha tuanze kuexport kuliko kuiport
Daaah hahahahah mkuu hii ID yako imenichekesha sana ......

Hayo uliyoongea watoto wa tandale akina stroke hawawezi kukuelewa!!! Wao kutwa kucha wanakaa vibarazani kusikiliza nyimbo za kishenzi kwenye vi tecno vyao na kusapoti upuuzi mitandaoni ila hali hali halisi ya maisha hawaijui!!!

Wangejua acha wanazopitia wakulima wala wasingeandika utumbo kama huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…