IamKulwa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 260
- 589
Ni kawaida kwa taasisi au watu kutumia wanyama kuvumisha sifa za taasisi au watu hao. Wanapochagua, husadifisha sifa za mnyama huyo na dhima au values za wahusika.
Mfano, club ya Liverpool hutumia Jogoo, Taifa la Urusi hutumia mnyama Dubu, Fani ya utabibu ametumika Nyoka.
Nimekuu nikijiuliza, kwanini waumini (hasa wa kikristo), Ukristo umetumia mnyama Kondoo kama alama yao. Je, vigezo vipi vilitumika?