View Once: Yarudisha penzi la mchawi

Dr Restart

JF-Expert Member
Jul 15, 2021
4,914
23,759
šŸ¤£
IMG-20240613-WA0011.jpg
 
Mimi sijaelewa
šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£

Jamaa kamtuhumu mwanamke wake mchawi na anajuta kumfahamu.

Mwanamke alichofanya akamtumia picha za utamu. Katika mfumo wa kuona mara moja tu. Hapo anajua jamaa yupo kwenye tension..

Sasa dawa yake kumtumia utamu, aone mara moja. Sehemu tamu tamu tu.

Kisha akamalizia na swali, upo wapi?
Jamaa anajibu home. Akamuambia nakuja..

Jamaa karopoka kwa mchawi,sawa mmiliki wa moyo wake.

Nyege hizo.
 
šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£

Jamaa kamtuhumu mwanamke wake mchawi na anajuta kumfahamu.

Mwanamke alichofanya akamtumia picha za utamu. Katika mfumo wa kuona mara moja tu. Hapo anajua jamaa yupo kwenye tension..

Sasa dawa yake kumtumia utamu, aone mara moja. Sehemu tamu tamu tu.

Kisha akamalizia na swali, upo wapi?
Jamaa anajibu home. Akamambia nakuja..

Jamaa karopoka kwa mchawi,sawa mmiliki wa moyo wake.

Nyege hizo.
Umeongea harakaharaka sijaelewa
 
Vew one imesababisha sehem zake za uzazi zikatikisika...šŸ¤£
 
Ni kweli sikupendezwa, ila yameisha usijali
Usinitishe tena kwa ban..

Sema sijapenda hiki basi. Nilishalamba ban ya maisha, mabishano ya kidini..

Kila leo nalambwa ban. Usinitishie tena. Iwe mwisho. And you will not have to warn me, just report and relax..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom